Tuesday, May 5, 2026
spot_img
HomeBiasharaRuto: Biashara Tanzania, Kenya yafikia Sh. trilioni 2.2 2025

Ruto: Biashara Tanzania, Kenya yafikia Sh. trilioni 2.2 2025

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema biashara ya Tanzania na Kenya mwaka jana ilifikia Dola za Marekani 860 milioni (zaidi ya Sh2.223 trilioni).

Ruto ameyasema hayo leo, Jumanne Mei 5, 2026 alipolihutubia Bunge la Tanzania, wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini.

Amesema mataifa hayo yanategemeana ndiyo maana biashara yao mwaka 2025 ilifika Dola za Marekani milioni 860, (zaidi ya Sh2.223 trilioni.

Ameeleza mwaka huu matarajio ni biashara baina ya mataifa hayo, ifikie Dola bilioni 1 (zaidi ya Sh2.6 trilioni).

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments