Wednesday, March 4, 2026
spot_img
HomeMichezoTenisi Walemavu yajifua kwenda Kenya

Tenisi Walemavu yajifua kwenda Kenya

Timu ya Taifa ya tenisi kwa watu wenye ulemavu inaendelea na mazoezi kujiandaa na mashindano ya wazi yatakayoanza Septemba 8, Nairobi, Kenya.

Kocha Mkuu, Riziki Salum, alisema kila mchezaji anajituma kuhakikisha bendera ya taifa inapepea vema. Timu itaondoka Septemba 6, huku akieleza kuridhishwa na viwango vya wachezaji na kuishukuru serikali kwa sapoti.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments