Friday, December 12, 2025
spot_img
HomeMichezoBeki Pamba Jiji atua Coastal Union

Beki Pamba Jiji atua Coastal Union

Klabu ya Coastal Union imekamilisha usajili wa beki wa kati Mkenya, Christopher Oruchum, kutoka Pamba Jiji FC, pamoja na kiungo Mtanzania Khleffin Salum Hamdoun kutoka Muscat Club ya Oman.

Usajili huu unalenga kuimarisha kikosi kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu.

Coastal Union, iliyomaliza nafasi ya nane msimu uliopita, itaanza ligi Septemba 17 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments