Tuesday, March 3, 2026
spot_img
HomeHabariSamia akiomba kura kwa wananchi wa Ilolangulu

Samia akiomba kura kwa wananchi wa Ilolangulu

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozungumza na kuomba kura kwa umati wa Wananchi wa eneo la Ilolangulu, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 11, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments