Tuesday, December 16, 2025
spot_img
HomeHabariDk.Nchimbi: Nitamsaidia Rais Dk. Samia kwa uwezo wangu wote na kwa uaminifu

Dk.Nchimbi: Nitamsaidia Rais Dk. Samia kwa uwezo wangu wote na kwa uaminifu

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi amemuhakikishia mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa atamsaidia kwa uwezo wake wote na kwa uaminifu ili atekeleze Ilani ya CCM kama alivyokusudia.

Dk. Nchimbi ameyazungumza hayo leo Jumapili Septemba 21, 2025 mbele ya Dk. Samia Pamoja na Wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wa Kampeni za chama hicho,uliofanyika wilayani Nyasa, Mbamba Bay mkoani Ruvuma.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments