Monday, December 8, 2025
spot_img
HomeHabariUmati wampokea Samia katika kampeni za CCM Tanga Mjini

Umati wampokea Samia katika kampeni za CCM Tanga Mjini

Wananchi wa Tanga Mjini walijitokeza kwa wingi kushiriki mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika tarehe 29 Septemba 2025.

Katika mkutano huo, mgombea wa urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, aliwasilisha na kunadi Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho, akiwahimiza wananchi kuichagua CCM kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments