Thursday, February 19, 2026
spot_img
HomeMichezoKapinga ashuhudia Fainali Doto Cup 2024

Kapinga ashuhudia Fainali Doto Cup 2024

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga jana Septemba 17, 2024 ameshuhudia fainali ya mashindano ya Doto Cup 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa.

Mashindano hayo yameandaliwa na Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dk. Doto Biteko.

Mshindi katika fainali hiyo ni timu ya mpira wa miguu ya Butinzya ambayo mgeni rasmi aliikabidhi zawadi ya shilingi milioni tano, seti 3 za jezi na mipira mitatu.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments