Mbunge Mteule wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu Ado ambaye pia ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amewasili katika viwanja vya Bunge na kukamilisha usajili. Vikao vya Bunge vinatarajiwa kuanza rasmi tarehe 11 Novemba 2025.

Maarifa Online Media ni chombo huru cha habari mtandaoni kinachotoa taarifa sahihi na za kuaminika kuhusu siasa, uchumi, jamii, michezo, elimu, afya na teknolojia. Tumejikita kwenye uwazi, weledi na uwajibikaji ili kuwafikishia wananchi habari bora na zenye mvuto kupitia tovuti na mitandao ya kijamii.
© 2025. Maarifa Online Media. All RIghts Reserved.