Mbunge wa Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado ameapa rasmi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwatumikia wananchi wa Tunduru Kaskazini baada ya kushinda kuliongoza Jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Maarifa Online Media ni chombo huru cha habari mtandaoni kinachotoa taarifa sahihi na za kuaminika kuhusu siasa, uchumi, jamii, michezo, elimu, afya na teknolojia. Tumejikita kwenye uwazi, weledi na uwajibikaji ili kuwafikishia wananchi habari bora na zenye mvuto kupitia tovuti na mitandao ya kijamii.
© 2025. Maarifa Online Media. All RIghts Reserved.