Tuesday, March 10, 2026
spot_img
HomeGeneral NewsAdo ambana Zungu kuhusu demokrasia Tanzania

Ado ambana Zungu kuhusu demokrasia Tanzania

Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu Ado amemhoji Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hassan Zungu juu ya nafasi ya Bunge ataloliongoza katika kuimarisha demokrasia nchini Tanzania hasa kwa kufufua mchakato wa Katiba Mpya.

Akijibu swali hilo Spika Zungu amesema kuwa Bunge ataloliongoza litasimamia haki za wananchi na kusimamia ahadi ya Serikali ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments