Wednesday, March 4, 2026
spot_img
HomeHabariKapinga katika mapokezi ya Rais Samia Mwanza

Kapinga katika mapokezi ya Rais Samia Mwanza

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga leo Oktoba 12, 2024 ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi kwenye mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Mwanza.

Rais Samia yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments