Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipoondoka Katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es salaam kuelekea Nchini Urusi kwenye ziara ya Kitaifa ikiwa ni Mwaliko wa Rais wa Shirikisho la Urusi Vladimir Putin leo Juni 02, 2026.







