HomeHabariRais Samia alivyopokelewa na Rais Putin Ikulu ya Kremlin

Rais Samia alivyopokelewa na Rais Putin Ikulu ya Kremlin

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokutana na Rais wa Urusi katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, Urusi leo Jumatano Juni 03, 2026.

Dk. Samia yuko nchini Urusi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Rais Putin, katika ziara inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Urusi pamoja na kukuza ushirikiano katika sekta za uwekezaji na biashara.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments