Sunday, November 9, 2025
spot_img
HomeHabariRais wa Afrika Kusini awasili Tanzania kushiriki Mkutano wa Dharura wa EAC...

Rais wa Afrika Kusini awasili Tanzania kushiriki Mkutano wa Dharura wa EAC na SADC

Waziri wa Madini,Anthony Mavunde, amempokea Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, aliyewasili nchini Tanzania kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaofanyika Februari 8, 2025.

Mkutano huu unalenga kujadili na kutafuta suluhisho kuhusu hali ya ulinzi na usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments