HomeHabariMatukio katika picha, Rais Samia akiweka shada la maua

Matukio katika picha, Rais Samia akiweka shada la maua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Shada la maua katika Kaburi la Askari Asiyejulikana (Tomb of the Unknown Soldier) pembezoni mwa Ukuta wa Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow nchini Urusi, tarehe 03 Juni, 2026.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments