Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan Katika matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Visiwani Zanzibar tayari kwa Mkutano Mkubwa wa Kampeni Za Uchaguzi Mkuu Uwanja wa Mnazi mmoja leo Oktoba 24, 2025.







