Saturday, November 8, 2025
spot_img
HomeHabariDk. Samia atua Zanzibar, tayari mkutano mkubwa wa kampeni

Dk. Samia atua Zanzibar, tayari mkutano mkubwa wa kampeni

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan Katika matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Visiwani Zanzibar tayari kwa Mkutano Mkubwa wa Kampeni Za Uchaguzi Mkuu Uwanja wa Mnazi mmoja leo Oktoba 24, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments