Saturday, April 25, 2026
spot_img
HomeHabariAskofu Shoo: Ripoti ya Tume italiponya Taifa

Askofu Shoo: Ripoti ya Tume italiponya Taifa

Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema ameipokea ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwa furaha kwani imeliponya Taifa kutoka kwenye majeraha yaliyotokea Oktoba 29, 2025 kwa kuongea ukweli na kutoa mapendekezo ambayo Serikali ikiyafanyia kazi basi Tanzania itazidi kuwa kisiwa cha Amani.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments