Tuesday, March 24, 2026
spot_img
HomeMichezoTaifa Stars yaelekea Rwanda kushiriki FIFA Series 2026

Taifa Stars yaelekea Rwanda kushiriki FIFA Series 2026

Wachezaji wa TImu ya Taifa wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari ya kuelekea Kigali, Rwanda kushiriki michuano ya FIFA Series 2026.

Ikiwa Rwanda Taifa Stars itacheza mechi za kirafiki dhidi ya Liechtenstein, Aruba na Macau.

Mechi hizo ziko katika Kalenda ya FIFA.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments