“Baadhi ya picha zilizochambuliwa na kufanya uchunguzi wa kisayansi kwa kutumia wataalamu walioidhinishwa, uchunguzi huo hususan kwa picha zilizokuwa zikizunguka zaidi mitandaoni na kwenye vyombo vya habari, baadhi yake zilikuwa halisi na za kweli, lakini nyingine hazikuwa halisi na zimechezewa kwa kutumia akili unde na nusu ukweli,” Jaji Othman Chande.




