Friday, May 1, 2026
spot_img
HomeHabariRais Samia alivyowasili Iringa uelekeo Njombe maadhimisho ya Mei Mosi

Rais Samia alivyowasili Iringa uelekeo Njombe maadhimisho ya Mei Mosi

Rais Samia Suluhu Hassan, alivyowasili mkoani Iringa kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wafanyakazi yanayotarajiwa kufanyika mkoani Njombe leo Mei 1, 2026.

Rais Samia amepokelewa na viongozi wa serikali wa mkoa pamoja na wananchi, kabla ya kuelekea Njombe ambako maadhimisho ya kitaifa ya Mei Mosi yanafanyika mwaka huu.

Maadhimisho hayo hukutanisha wafanyakazi, waajiri na serikali kujadili masuala ya ajira, maslahi ya wafanyakazi na mchango wao katika uchumi wa taifa.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments